Kipa Mghana wa Azam FC, Razack Abalora baada ya kuwasili mkoani Dodoma asubuhi ya leo kwa mapumziko ya mafupi kabla ya kesho asubuhi kuendelea na safari kwenda Shinyanga ambako Jumamosi watakuwa na mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Mwadui FC
Mshambuliaji Mbaraka Yussuf akielekea kwenye hoteli ya African Conference Centre ambako Azam FC ilifikia pia wiki mbili zilizopita ilipokwenda kucheza na Singida United na kutoa sare ya bao 1-1
Nahodha Himid Mao akielekea hotelini baada ya kuteremka kwenye basi
Beki Mghana, Yakubu Mohammed akiteremka kwenye basi
Kocha Mromania, Aristica Cioaba wakati timu inaondoka Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam Alfajiri ya leo
Klay Thompson: 'Just Surreal' to Pass Reggie Miller on NBA's All-Time
3-Point List
-
Dallas Mavericks guard Klay Thompson called it "surreal" to pass one of his
NBA idols on the all-time three-pointers list on Christmas Day. Thompson
now sits…
52 minutes ago
0 comments:
Post a Comment