
Tuesday, October 31, 2017

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KIPA mpya wa Simba, Said Mohammed ‘Ndunda’ ameposti picha akiwa na mchumba wa kipa wa zamani wa klabu hiy...
WACHEZAJI CHELSEA WAKIZURULA MITAA YA JIJI LA ROMA
Tuesday, October 31, 2017
Marcos Alonso (katikati) akiwa na wachezaji wenzake wa Chelsea wakizurula kwenye mitaa ya Jiji la Roma leo kabla ya mchezo wa Kundi C Lig...
KANE YUKO FITI KUWAVAA REAL MADRID KESHO WEMBLEY
Tuesday, October 31, 2017
Mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Harry Kane akiwa mazoezini na wenzake leo baada ya kupona maumivu ya nyama za paja wakijiandaa na mche...
SINGIDA UNITED WAKATAA UNDUGU NA YANGA, WASEMA JUMAMOSI ACHA ‘KICHAFUKE’ NAMFUA
Tuesday, October 31, 2017
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM UONGOZI wa Singida United umesema kwamba uhusiano wao na Yanga ni wa kawaida na hautaingilia matokeo ya ...
HUYU HAPA MFALME ANAKUJA LONDON KUWASHIKA SPURS
Tuesday, October 31, 2017
Cristiano Ronaldo na Toni Kroos wakiwa kwenye ndege wakati Real Madrid inasafiri kwenda London kwa mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ula...
SIMBA WAMSHUTUMU REFA SASII KUWABEBA YANGA...WADAI ALIWANYIMA PENALTI MBILI ZA HALALI
Tuesday, October 31, 2017
Na Rehema Lucas, DAR ES SALAAM KLABU ya Simbe imelalamika kunyimwa penalti mbili na refa Heri Sasii katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom T...
MANCHESTER UNITED WALIVYOINGIA KAMBINI JANA LOWRY
Tuesday, October 31, 2017
Mshambuliaji nyota, Romelu Lukaku akiwasili katika hoteli ya Lowry jana usiku ambako timu yake, Manchester United imeweka kambi kujian...
Monday, October 30, 2017
BALE YU TAYARI KWA MCHEZO DHIDI YA SPURS JUMATANO LONDON
Monday, October 30, 2017
Gareth Bale akifanya mazoezi na wachezaji wenzake wa Real Madrid leo kujiandaa na mchezo wa Kundi H, Ligi ya Mabingwa Ulaya Jumatano dhid...
PRISONS YAICHAPA RUVU SHOOTING 1-0 NA KUSOGEA ANGA ZA UBINGWA LIGI KUU
Monday, October 30, 2017
Na Princess Asia, MBEYA TIMU ya Tanzania Prisons imejisogeza anga za ubingwa baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo ...
MEJA MINGANGE ACHUKUA NAFASI YA IDDI CHECHE AZAM U-20
Monday, October 30, 2017
Na Rehema Lucas, DAR ES SALAAM KOCHA wa zamani wa Ndanda FC na Mbeya City, Meja Mstaafu, Abdul Mingange leo ametangazwa kuwa kocha mpya wa...
MBEYA CITY WATAKA KUMALIZIA HASIRA ZAO KWA SIMBA
Monday, October 30, 2017
Na David Nyembe, MBEYA TIMU ya Mbeya City imewataarifu Simba SC, kwamba waende Mbeya wakijua wafungwa katika mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Vo...
MAYWEATHER SASA AJA KIVINGINE TOFAUTI NA ULIVYOMZOEA
Monday, October 30, 2017
Bondia mstaafu, Mmarekani Floyd Mayweather amesherehekea Halloween kwa kuvaa kama 'Gladiator' kama anavyoonekana katika picha ali...
BARCELONA WAIFUATA OLYMPIAKOS UGIRIKI LIGI YA MABINGWA KESHO
Monday, October 30, 2017
Lionel Messi akipanda ndege Uwanja wa Ndege wa El Prat wakati kikosi cha Barcelona kikisafiri kwenda Athens, Ugiriki leo kwa ajili ya mch...
AMBAVYO IBRAHIM AJIB ALIWEKEWA ULINZI MKALI JUMAMOSI
Monday, October 30, 2017
Beki wa Simba, Mganda Juuko Murshid (kushoto) akiruka kuokoa mpira kwa kichwa dhidi ya mshambuliaji wa Yanga, Ibrahim Ajib katika mchezo ...
MCHEZAJI BORA WA AZAM U-20 SEPTEMBA NI PAUL PETER
Monday, October 30, 2017
Makamu Mwenyekiti wa Azam FC, Abdulkarim Amin 'Popat' (kulia) akimkabidhi mshambuliaji chipukizi, Paul Peter tuzo ya Mchezaji Bor...
MSUVA AENDELEA KUPIKA MABAO DIFAA JADIDA YAUA 3-0 LIGI KUU
Monday, October 30, 2017
Na Mwandishi Wetu, JADIDA WINGA wa kimataifa wa Tanzania jana ameendelea kuwa mpishi mzuri wa mabao kwa timu yake, Difaa Hassan El Jadida ...
Sunday, October 29, 2017
LEICESTER CITY YAITANDIKA 2-0 EVERTON LIGI KUU ENGLAND
Sunday, October 29, 2017
Mshambuliaji Jamie Vardy (kushoto) akiifungia Leicester City bao la kwanza dakika ya 18 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Everton kwenye mch...
NEYMAR AKUTANA TENA NA MESSI NA SUAREZ, WAPIGA STORI
Sunday, October 29, 2017
Neymar (kushoto) akizungumza na wachezaji wenzake wa zamani wa Barcelona, Lionel Messi (katikati) na Luis Suarez baada ya kukutana hivi k...
REAL MADRID WACHAPWA 2-1 NA KITIMU KIDOGO CHA KATALUNYA
Sunday, October 29, 2017
Cristiano Ronaldo na wachezaji wenzake wa Real Madrid wakiwa na huzuni baada ya kupoteza mchezo wa La Liga ugenini mbele ya wenyeji, Gir...
TANZANIA BARA YANG'ARA MBIO ZA KILOMITA 10 KMKM ZANZIBAR
Sunday, October 29, 2017
Na Salum Vuai, ZANZIBAR USHINDI wa kwanza kwa upande wa wanawake na wanaume kwenye mbio za kilomita 10 katika mashindano yaliyoandaliwa na...
MWANJALI MAPIGO HAYA NI SOKA TU, AU NA KARATE PIA!
Sunday, October 29, 2017
Beki wa Simba, Method Mwanjali akiruka kibabe kama mcheza karate kuudhibiti mpira katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhid...
MTIBWA YASHINDWA KUZISHUSHA SIMBA, YANGA, YALAZIMISHWA SARE 0-0 NA SINGIDA UNITED MANUNGU
Sunday, October 29, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MTIBWA Sugar imeshindwa kurejea kileleni mwa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baada ya kulazimishwa sare...
SAMATTA AFIKISHA MECHI 69 GENK IKITOA SARE 0-0 UGENINI
Sunday, October 29, 2017
Na Mwandishi Wetu, KORTRIJK MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta jana amecheza mechi yake ya 69, timu yake, KRC Genk...
NINI OKWI ALIKUWA ANALALAMIKA KWA REFA HAPA JANA?
Sunday, October 29, 2017
Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi (kushoto) akizungumza na refa Heri Sasii wakati wa mapumziko kwenye mchezo wa jana wa Ligi Kuu ya Vo...
WAZIRI WA ZAMANI, NAPE NNAUYE ALIKUWEPO JANA SHAMBA LA BIBI
Sunday, October 29, 2017
Waziri wa zamani wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Moses Nnauye (kushoto) akiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba Uw...
BIN ZUBEIRY, WAMBURA NA KINGOBA ENZI ZA UJANA WAO KAZINI
Sunday, October 29, 2017
Waandishi wa habari za michezo, kutoka kulia, Mahmoud Zubeiry wa gazeti la Dimba, Mgaya Kingoba wa gazeti la Mtanzania na Boniphace Wambu...
TFF WAMEFANIKIWA KUWAZUIA WATU KWENDA KWA WINGI UWANJANI JANA
Sunday, October 29, 2017
WAMAELFU ya wapenzi wa soka Dar es Salaam jana waliamua kubaki nyumbani kushuhudia mchezo wa mahasimu wa jadi, Simba na Yanga kupitia Telev...
WYDAD YATOA SARE NA AHLY 1-1 MISRI FAINALI YA KWANZA
Sunday, October 29, 2017
TIMU ya Wydad Casablanca jana imelazimisha sare ya 1-1 na wenyeji, Al Ahly katika fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika Uwanja wa Bo...
MTIBWA SUGAR KUREJEA KILELENI LIGI KUU LEO?
Sunday, October 29, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MTIBWA Sugar inaweza kupanda kileleni mwa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara leo kama itashinda dhidi ya S...
SIMBA NA YANGA KATIKA PICHA JANA UWANJA WA UHURU
Sunday, October 29, 2017
Kiungo wa Yanga, Mkongo Papy Kabamba Tshishimbi akipasua katikati ya wachezaji wa Simba, Muzamil Yassin (kulia) na Emmanuel Okwi (kushoto...
Subscribe to:
Posts (Atom)