Mshambuliaji wa Arsenal, Theo Walcott akikimbia kushangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za tisa na 22 katika ushindi wa 4-2 dhidi ya wenyeji, BATE Borisov kwenye mchezo wa Kundi H Europa League usiku huu Uwanja wa Borisov Arena. Mabao mengine ya Arsenal yamefungwa na Rob Holding dakika ya 25 na Olivier Giroud dakika ya 49 kwa penalti wakati mabao ya BATE yamefungwa na Mirko Ivanic dakika ya 28 na Mikhail Gordelchuk dakika ya 67 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
OSU's Ryan Day Praised by CFB Fans amid Criticism After Blowout CFP Win vs.
Tennessee
-
Ohio State punched its ticket to the Rose Bowl on Saturday night. The
Buckeyes cruised to a blowout victory over Tennessee in the first round of
the College…
26 minutes ago
0 comments:
Post a Comment