Mshambuliaji wa Simba, John Bocco akiondoka na mpira mazoezini leo Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya timu yake ya zamani, Azam FC Jumamosi Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam
Mshambuliaji Mrundi, Laudit Mavugo akipiga mpira mbele ya wenzake leo mazoezini Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam
Beki Salim Mbonde akipiga mpira mbele ya wenzake leo mazoezini Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam
Wachezaji wa Simba wakiwa mazoezini Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam leo
Simba imehamishia mazoezi yake Uwanja wa Uhuru nyasi bandia kutoka Boko Veterani kwa kuwa Azam Complex ni wa nyasi bandia pia
Hapa wachezaji wa Simba wakifanya dua baada ya mazoezi yao
Mshambuliaji Mrundi, Laudit Mavugo akipiga mpira mbele ya wenzake leo mazoezini Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam
Beki Salim Mbonde akipiga mpira mbele ya wenzake leo mazoezini Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam
Nyota wa Simba wakipigiana pasi leo mazoezini Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam
Wachezaji wa Simba wakiwa mazoezini Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam leo
0 comments:
Post a Comment