Winga Mtanzania, Simon Msuva, wa Difaa Hassan El-Jadida (kulia) akimtoka mchezaji wa Ittihad Tanger usiku wa jana Uwanja wa Grand Stade de Tanger katika Kombe la FA Morocco uliomalizika kwa sare ya 1-1. Difaa imesonga mbele kwa faida ya bao la ugenini baada ya kutoa sare ya 0-0 nyumbani wiki iliyopita
Simon Msuva (kulia) akitoka uwanjani wakati wa mapumziko
Simon Msuva akiwa kazini jana nchini Morocco
Simon Msuva (kushoto) akifurahia na wachezaji wenzake baada ya mechi jana
Wachezaji wa Difaa Hassan El Jadida wakimpongeza mfungaji wa bao lao jana
Kikosi cha kwanza cha Difaa Hassan El Jadida jana
OSU's Ryan Day Praised by CFB Fans amid Criticism After Blowout CFP Win vs.
Tennessee
-
Ohio State punched its ticket to the Rose Bowl on Saturday night. The
Buckeyes cruised to a blowout victory over Tennessee in the first round of
the College…
16 minutes ago
0 comments:
Post a Comment