Mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford akimruka beki wa Stoke City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Bet365 timu hizo zikitoka sare ya 2-2. Mabao ya Man United yalifungwa na Rashford dakika ya 45 na ushei na Romelu Lukaku dakika ya 57 wakati ya Stoke yamefungwa na Eric Maxim Choupo-Moting yote dakika za 43 na 63 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Liverpool 1-2 Newcastle: Magpies end 70-YEAR wait for domestic silverware
with stunning Carabao Cup triumph after goals from Alexander Isak and Dan
Burn at Wembley
-
OLIVER HOLT AT WEMBLEY: Some wept. Tears of unbridled joy. Some flung their
hands to the skies, thinking perhaps of loved ones long gone who would have
giv...
51 minutes ago
0 comments:
Post a Comment