Mshambuliaji Robert Lewandowski akishangilia baada ya kuifungia Bayern Munich bao la kwanza kwa penalti dakika ya 12 baada ya yeye mwenyewe kuangushwa katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Anderlecht usiku wa jana Uwanja wa Allianz Arena mjini Munich katika mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Ulaya. Mabao mengine ya Thiago Alcantara dakika ya 65 na Joshua Kimmich dakika ya 90 katika mchezo ambao kiungo wa Anderlecht, Sven Kums alitolewa kwa kadi nyekundu baada ya kumsukuma Lewandowski PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Chaos at Milwaukee high school as parents rage after ex-cop 'took 400 video
of girls changing in locker room'
-
A chaotic scene unfolded at a Milwaukee high school this week, where
furious parents confronted officials over a security guard accused of
filming girls in...
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment