Mshambuliaji mpya, Alexandre Lacazette akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Arsenal dakika ya 20 kati ya mawili aliyofunga, lingine dakika ya 67 kwa penalti katika ushindi wa 2-0 dhidi ya West Bromwich Albion kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumatatu Uwanja wa Emirates, London PICHA ZAIDI GONGA HAPA
OSU's Ryan Day Praised by CFB Fans amid Criticism After Blowout CFP Win vs.
Tennessee
-
Ohio State punched its ticket to the Rose Bowl on Saturday night. The
Buckeyes cruised to a blowout victory over Tennessee in the first round of
the College…
30 minutes ago
0 comments:
Post a Comment