// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); HUU SASA NDIYO UWANJA MZURI ZAIDI WA SOKA DUNIANI, UPO MAREKANI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE HUU SASA NDIYO UWANJA MZURI ZAIDI WA SOKA DUNIANI, UPO MAREKANI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, September 05, 2017

    HUU SASA NDIYO UWANJA MZURI ZAIDI WA SOKA DUNIANI, UPO MAREKANI

    Uwanja mpya mzuri zaidi duniani, wa MERCEDES-BENZ uliogharimu dola za Kimarekani Bilioni 1.5 kama unavyoonekana kwenye mwonekano mzuri haijawahi kutokea, ikiwemo paa la kufunga na kufungua. Uwanja huo ulifunguliwa mjini Atlanta, Georgia mwezi Agosti na utakuwa ukitumika kwa mechi na  NFL na MLS – kwa kuanzia, Jumapili hii Atlanta United watacheza mechi yao ya kwanza ya MLS nyumbani PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HUU SASA NDIYO UWANJA MZURI ZAIDI WA SOKA DUNIANI, UPO MAREKANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top