Mshambuliaji Andre Ayew akiifungia West Ham bao la pili dakika ya 77 baada ya awali kumsetia Pedro Obiang kufunga bao la kwanza dakika ya 72 katika ushindi wa 2-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa London. Ayew, mtoto wa Mwanasoka Bora wa zamani Afrika, Mghana Abedi Pele alitokea benchi kwenye mchezo huo dakika ya 64 kuchukua nafasi ya Javier Hernandez 64 'Chicharito' PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Liverpool v Barca 'one of great Champions League nights'
-
Liverpool players and former staff relive one of the greatest comebacks in
Champions League history, when they stunned Barcelona in 2018-19.
31 minutes ago
0 comments:
Post a Comment