
Saturday, September 30, 2017

Harry Kane akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Tottenham Hotspur katika ushindi wa 4-0 leo dhidi ya Huddersfield kwenye mchezo w...
FELLAINI APIGA MBILI MAN UNITED YASHINDA 4-0 ENGLAND
Saturday, September 30, 2017
Marouane Fellaini akikimbia kushangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 35 na 49 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Crystal Palace ...
AZAM FC YAWACHOMOLEA SINGIDA UNITED DAKIKA ZA MWISHONI
Saturday, September 30, 2017
Na Mwandishi Wetu, DODOMA TIMU ya Azam FC imelazimisha sare ya 1-1 na wenyeji wahamiaji, Singida United katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodac...
YANGA YAENDELEA KUSUASUA...YATOA SARE 0-0 NA MTIBWA SUGAR UHURU
Saturday, September 30, 2017
Na Salma Suleiman, DAR ES SALAAM MABINGWA watetezi, Yanga SC wameendeleza mwendo wa kusuasua katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baad...
HAKUNA MBABE USM ALGER NA WYDAD, WATOKA SULUHU
Saturday, September 30, 2017
WENYEJI, USM Alger wamelazimishwa sare ya 0-0 na Wydad Casablanca ya Morocco katika Nusu Fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika usiku...
KLOPP AKIFURAHIA NA SADIO MANE MAZOEZINI LIVERPOOL
Saturday, September 30, 2017
Kocha Mjerumani wa Liverpool, Jurgen Klopp akifurahia na mchezaji wake , Msenegali Sadio Mane mazoezini viwanja vya Melwood jana kujian...
KOCHA MPYA BAYERN AANZA VIDAL MWENYE KADI NYINGI ZA NJANO
Saturday, September 30, 2017
Kocha wa muda wa Bayern Munich, Willy Sagnol anayeishikilia timu hiyo baada ya kuondoka kwa Mtaliano Carlo Ancelotti aliyefukuzwa juzi, ...
YATHIBITISHWA AGUERO ATAKUWA NJE WIKI NNE
Saturday, September 30, 2017
MSHAMBULIAJI Sergio Aguero anahitaji angalau wiki nne za mapumziko baada ya kuvunjika mbavu katika ajali ya gari usiku wa juzi mjini Amster...
Friday, September 29, 2017
AZAM FC KATIKA MAZOEZI YA MWISHO LEO KABLA YA KUIVAA SINGIDA KESHO DODOMA
Friday, September 29, 2017
Kipa Mghana wa Azam FC, Razack Abalora akimdhibiti mshambuliaji Mbaraka Yussuf katika mazozi ya timu hiyo leo Uwanja wa Jamhuri mjini Dod...
YANGA NA MTIBWA SUGAR SHUGHULI PEVU UHURU KESHO
Friday, September 29, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM LIGI Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), inatarajiwa kuendelea kesho kwa Yanga SC kuikaribisha Mtibwa Sug...
MBARAKA: KILA MECHI NI KAMA FAINALI AZAM
Friday, September 29, 2017
Na Mwandishi Wetu, DODOMA MSHAMBULIAJI tegemeo wa Azam FC, Mbaraka Yussuf amesema kwamba kila mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara ...
SAMATTA: USHINDANI UMEONGEZEKA LIGI YA UBELGIJI
Friday, September 29, 2017
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI wa KRC Genk, Mbwana Ally Samatta amesema kwamba ushindani umeongezeka katika Ligi Kuu ya Ub...
AGUERO AVUNJIKA MBAVU KWENYE AJALI YA GARI UHOLANZI
Friday, September 29, 2017
MSHAMBULIAJI wa Manchester City, Sergio Aguero ameripotiwa kuvunjika mbavu ya nyota huyo wa Argentina kupata ajali mjini Amsterdam usiku wa...
ROONEY AFUNGA LAKINI EVERTON 'YAKABWA KOO' NYUMBANI ULAYA
Friday, September 29, 2017
Wayne Rooney akishangilia baada ya kuifungia Everton bao la kusawazisha dakika ya 21 kufuatia Adrian Sardinero kuwafungia Apollon Limasso...
YANGA NAYO KUCHEZA MECHI YA KIRAFIKI TABORA
Friday, September 29, 2017
Na Adam Hando, TABORA CHAMA cha soka Tabora (TAREFA) kipo kwenye mazungumzo na mabingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara,Yanga ili wae...
CECAFA CHALLENGE YARUDI, KUFANYIKA KENYA 2017
Friday, September 29, 2017
BARAZA la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) limeitaja Kenya kuwa mwenyeji wa Kombe la mataifa ya ukanda huo, maarufu kama Se...
MECHI YA SUPERSPORT NA CLUB AFRICAIN YASOGEZWA MBELE
Friday, September 29, 2017
SHIRIKISHO SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limesogeza mbele kwa siku moja Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho baina ya SuperSport United y...
ANCELOTTI AFUKUZWA BAYERN MUNICH BAADA YA 3-0 ZA PSG
Friday, September 29, 2017
KOCHA Carlo Ancelotti amefukuzwa Bayern Munich baada ya kuwa kazini kwa mwaka mmoja tu, kufuatia kipigo cha mabao 3-0 kwenye mchezo wa L...
WALCOTT AFUNGA MAWILI, ARSENAL YASHINDA 4-2 UGENINI ULAYA
Friday, September 29, 2017
Mshambuliaji wa Arsenal, Theo Walcott akikimbia kushangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za tisa na 22 katika ushindi wa 4-2 dhid...
Thursday, September 28, 2017
POULSEN AMUHAKIKISHIA NAFASI MAKAMBA NGORONGORO HEROES
Thursday, September 28, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM WAKATI Kocha Mkuu wa timu za taifa za vijana, Kim Poulsen akitarajiwa kutangaza kikosi cha vijana wenye u...
REFA WA MAJI MAJI NA YANGA APEWA ONYO KWA KUTOKUWA MAKINI KAZINI
Thursday, September 28, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SWALAAM KAMATI ya Bodi ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi, imempa onyo kali refa msaidizin namba moja wa mchezo ...
NIGERIA KUWASILI DAR USIKU WA LEO KUIVAA TANZANIA JUMAPILI
Thursday, September 28, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya soka ya taifa ya wanawake wenye umri wa chini ya miaka 20 ya Nigeria ‘Falconets’ inatarajiwa kutu...
TASWA YALAANI KITENDO CHA CHIRWA KUMPIGA MWANDISHI
Thursday, September 28, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM CHAMA Cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) na wahariri wa habari za michezo nchini, tumepo...
Subscribe to:
Posts (Atom)