Beki wa Lipuli, Mghana Asante Kwasi akienda juu kupiga mpira dhidi ya mshambuliaji wa Yanga, Mzimbabwe, Donald Ngoma katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam timu hizo zikitoka sare ya 1-1
Kiungo Mzimbabwe wa Yanga, Thabani Kamusoko akiwachambua wachezaji wa Lipuli
Beki wa Yanga, Andrew Vincent 'Dante' akiwa juu kupiga mpira dhidi ya kipa wa Lipuli, Agathon Mkwando
Kiungo wa Lipuli, Paul Ngalema akiwatoka wachezaji wa Yanga jana
Kiungo Mkongo wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi akiambaa na mpira
Andrew Vincent 'Dante' akienda juu kupiga mpira kichwa
Refa Hans Mabena wa Tanga akimtoa kwa kadi nyekundu beki Mghana, Asante Kwasi baada ya kumuonyesha kadi ya pili ya njano
Mashabiki wa Yanga wakiwa hawana furana katika mchezo huo
Kikosi cha Lipuli kilichoizuia Yanga jana Uhuru
Kikosi cha Yanga kilicholazimishwa sare nyumbani jana
Dangiwa threatens to blacklist developers over substandard projects
-
From Isaac Anumihe, Abuja Minister of Housing and Urban Development,
Architect Ahmed Musa Dangiwa, has issued a stern warning to developers
handling Rene...
23 minutes ago
0 comments:
Post a Comment