• HABARI MPYA

        Monday, August 28, 2017

        WAFALME WA SOKA HISPANIA, ULAYA NA DUNIANI

        Mwanasoka Bora wa Ulaya na Dunia, Cristiano Ronaldo akiinua juu taji la Super Cup ya Ulaya kusherehekea pamoja na Kombe la La Liga walilotwaa msimu uliopita baada ya kukabidhiwa jana Uwanja wa Santiago Bernabeu kufuatia mchezo dhidi ya Valencia uliomalizika kwa sare ya 2-2. Wengine ni Sergio Ramos (kulia) na taji la la Liga na Marcello na aliyebeba Kombe la Mfalme. Real pia ni mabingwa wa dunia PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: WAFALME WA SOKA HISPANIA, ULAYA NA DUNIANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry