Kiungo wa Yanga, Mkongo Papy Kabamba Tshishimbi akimlamba chenga mshambuliaji Mganda wa Simba, Emmanuel Okwi katika mchezo wa Ngao ya Jamii jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba ilishinda kwa penalti 5-4 baada ya sare ya 0-0
Papy Kabamba Tshishimbi akiwa juu kabisa kuwania mpira
Emmanuel Okwi akiwatoka mabeki wa Yanga, Juma Abdul (kulia) na Kevin Yondan (kushoto)
Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma akimtoka beki wa Simba, Method Mwanjali
Mshambuliaji wa Yanga, Ibrahim Hajib akiwafunga tela mabeki wa Simba, Method Mwanjali na Ally Shomary
Kiungo wa Yanga, Mzimbabwe Thabani Kamusoko (kulia) akipambana na kiungo wa Simba, Mnyarwanda Haruna Niyonzima
Mshambuliaji wa Yanga, Ibrahim Hajib akifumua shuti jana
Mshambuliaji Mrundi wa Simba, Laudit Mavugo akiwania mpira wa juu jana
Kikosi cha Yanga kilichoanza jana
Kikosi cha Simba kilichoanza jana
Week 16 NFL Playoff Picture: AFC, NFC Bracket Scenarios Ahead of Saturday's
Games
-
Three of the four teams in action on Saturday have a playoff clinching
scenario in play. The Kansas City Chiefs can move a step closer to the No.
1 seed in…
18 minutes ago
0 comments:
Post a Comment