Kiungo mpya wa Simba, Haruna Niyonzima (kulia) akimzunguka beki wa Rayon Sport ya Rwanda, Jean D'Amour Nzayisenga katika mchezo wa kirafiki kwenye taamasha la Simba Day jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba ilishinda 1-0
Beki wa Rayon Sport akimzuia kwa mikono winga wa Simba, Shiza Kichuya katika mchezo wa kirafiki jana
Mshambuliaji Mganda, Emmanuel Okwi akimpita mchezaji wa Rayon jana
Beki mpya kutoka Azam, Erasto Nyoni akipiga hesabu za kumpita beki wa Rayon
Nahodha wa Simba, beki wa kati Method Mwanjali akiondosha mpira kwenye eneo la hatari la timu yake
Kipa wa Rayon Sport, Everiste Mutuyimana akinyoosha mkono kuokoa dhidi ya mshambuliaji wa Simba, John Bocco jana
HarunaNiyonzima akipasua katikati ya wachezaji wa Rayon jana
Kocha wa Simba, Mcameroon Joseph Omog na wasaidizi wake, Mganda Jackson Mayanja na mzalendo, Muharami Mohammed 'Shilton'
Kikosi cha Rayon jana Uwanja wa Taifa
Kikosi cha Simba jana Uwanja wa Taifa
Amad's new-contract day
-
Don't miss our exclusive behind-the-scenes images from a richly deserved
occasion for the Ivorian.
37 minutes ago
0 comments:
Post a Comment