Kiungo wa Simba SC, Haruna Niyonzima akimuacha chini kiungo wa Mtibwa Sugar, Mohammed Issa 'Banka' jana katika mchezo wa kirafiki uliofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba ilishinda 1-0
Mfungaji wa bao pekee la Simba jana, Emmanuel Okwi (kushoto) akiambaa na mpira
Mohammed Issa 'Banka' wa Mtibwa Sugar akimtoka kiungo wa Simba, James Kotei
Beki wa Simba, Jamal Mwambeleko akimtoka mchezaji wa Mtibwa Sugar
Mshambuliaji wa Simba, John Bocco (kushoto) akipiga shuti lililokwenda nje
Beki wa Mtibwa Sugar, Dickson Job akimtoka beki wa Simba, Mohammed Hussein 'Tsabalala'
Mohammed Issa wa Mtibwa Sugar akiwania mpira wa juu na kiungo wa Simba, Muzamil Yassin
Winga wa Simba, Shiza Kichuya (kulia) akipiga na kukosa bao la wazi akiwa amebaki na kipa wa Mtibwa Sugar, Abdallah Makangana
Kikosi cha Simba kilichoanza jana
Kikosi cha Mtibwa Sugar jana
Drake Maye: Patriots Rookie Season Has Been 'Tough,' Have 'A Lot to Learn
From'
-
New England Patriots rookie quarterback Drake Maye reflected on his first
NFL season and expressed optimism for the future on Wednesday. According to…
13 minutes ago
0 comments:
Post a Comment