• HABARI MPYA

        Wednesday, August 23, 2017

        SHAMRASHAMRA ZA USHINDI WA NGAO YA JAMII SIMBA TAIFA LEO

        Nahodha wa Simba, Method Mwanjali akiinua Ngao ya Jamii leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam baada ya ushindi wa penalti 5-4 kufuatia sare yaa 0-0 ndani ya dakika 90 dhidi ya mahasimu, Yanga
        Wachezaji wa Simba na viongozi wao wakifurahia baada ya mechi
        Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Michael Wambura akimvalisha Medali kiungo Muzamil Yassin   
        Wachezaji wa Simba wakiwa watulivu wakati wa kupigwa penalti
        Kipa Aishi Manula akimpongeza kiungo Mohammed 'Mo' Ibrahim baada ya kufunga penalti ya mwisho
        Kocha Mcameroon, Joseph Omog akisikitika baada ya beki wake, Mohammed Hussein 'Tshabalala' kukosa penalti
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: SHAMRASHAMRA ZA USHINDI WA NGAO YA JAMII SIMBA TAIFA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry