// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SANCHEZ ALIVYOREJEA NA MOTO WA HATARI ARSENAL LEO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SANCHEZ ALIVYOREJEA NA MOTO WA HATARI ARSENAL LEO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, August 01, 2017

    SANCHEZ ALIVYOREJEA NA MOTO WA HATARI ARSENAL LEO

    Nyota wa Arsenal, Alexis Sanchez akifanya mazoezi kwa bidii baada ya kujiunga na timu yake hiyo leo kufuatia mapumziko marefu zaidi aliyopewa tofauti na wenzake baada ya kuwa amekwenda kuiongoza timu yake ya taifa, Chile kwenye michuano ya Kombe la Mabara Juni mwaka huu, ambako ilishika nafasi ya pili baada ya kufungwa 1-0 na Ujerumani katika fainali PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SANCHEZ ALIVYOREJEA NA MOTO WA HATARI ARSENAL LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top