• HABARI MPYA

        Monday, August 28, 2017

        REAL MADRID YALAZIMISHWA SARE LA LIGA, 2-2 NA VALENCIA

        Lucas Vazquez wa Real Madrid akivuta mpira dhidi ya wachezaji wa Valencia katika mchezo wa La Liga jana Uwanja Bernabeu timu hizo zikitoka sare ya 2-2. Mabao ya Real Madrid yalifungwa na Marco Asensio dakika ya 10 na 83, wakati ya Valencia yamefungwa na Carlos Salor dakika ya 18 na Geoffrey Kondogbia dakika ya 77 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: REAL MADRID YALAZIMISHWA SARE LA LIGA, 2-2 NA VALENCIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry