Wachezaji wa Real Madrid wakiwa na taji lao la Super Cup ya Hispania baada ya ushindi wa 2-0 usiku wa jana Uwanja wa Bernabeu katika mchezo wa marudiano dhidi ya Barcelona. Mabao ya Real iliyomkosa mshambuliaji wake nyota, Crustiano Ronaldo aliyeanza kutumikia adhabu ya mechi tano kufuatia kuonyeshwa kadi nyekundu katika mchezo wa kwanza Camp Nou wiki iliyopita yamefungwa na Marco Asensio dakika ya nne na Karim Benzema dakika ya 39. Real ilishinda 3-1 kwenye mchezo na sasa inabeba Super Cup ya Hispania kwa ushindi wa jumla wa 5-1 dhidi ya timu ya Lionel Messi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
It feels good to be able to contribute to the results – Mohammed Kudus
after scoring in West Ham’s draw against Brighton
-
West Ham United forward Mohammed Kudus has shared his excitement after
playing a crucial role in salvaging a point for his team in their 1-1 draw
against B...
24 minutes ago
0 comments:
Post a Comment