Beki wa Real Madrid, Sergio Ramos akimpiga Fabian Schar wa Deportivo La Coruna katika mchezo wa La Liga Uwanja wa Manispaa ya Riazor mjini La Coruna usiku wa Jumapili, lakini wachezaji wote wakawa na bahati ya kutoonyeshwa kadi yoyote licha ya kugombana kipindi cha pili. Real iliyomkosa nyota wake, Cristiano Ronaldo anayetumikia adhabu ilishinda 3-0 mabao ya Gareth Bale dakika ya 20, Casemiro dakika ya 27 na Toni Kroos dakika ya 62 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
TeamViewer Trending: Maguire's Resurgence
-
Harry Maguire's reputation is now arguably higher than at any point since
the summer of 2021, writes Joe Ganley.
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment