Neymar akikimbia baada ya kuifungia bao la kwanza Paris Saint Germain dakika ya 31 kati ya mawili, lingine dakika ya 90 na ushei usiku wa Jumapili katika ushindi wa 6-2 dhidi ya Toulouse kwenye mchezo Ligue 1, Ufaransa Uwanja wa Parc des Princes. Mabao mengine ya PSG yamefungwa na Adrien Rabiot dakika ya 35, Edinson Cavani dakika ya 75, Javier Pastore dakika ya 82 na Layvin Kurzawa dakika ya 84 wakati ya Toulouse iliyomaliza pungufu kufuatia kiungo wake Mtaliano, Marco Verratti kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 69 baada ya kuonyeshwa kadi ya pili ya njano yalifungwa na Max Gradel dakika ya 18 na Thiago Silva aliyejifunga dakika ya 78 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Livvy Dunne puts injury nightmare behind her as she flies to Alabama with
her LSU teammates
-
Livvy Dunne seemed to have put her injury devastation behind her and looked
to be having a great time as she flew to Alabama on Thursday.
14 minutes ago
0 comments:
Post a Comment