Friday, August 25, 2017

    MIYEYUSHO ULINGONI NA BAINA 'SIMBA' MAZOLA KINONDONI KESHO

    Mabondia Baina 'Simba' Mazola (kushoto) na Francis Miyeyusho (kulia) wakichimbana mikwara wakati wa kupima uzito leo kwa ajili ya pambano lao lisilo la ubingwa uzito wa Feather kesho ukumbi wa New Vijana Social Hall, Kinondoni, Dar es Salaam
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MIYEYUSHO ULINGONI NA BAINA 'SIMBA' MAZOLA KINONDONI KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry