• HABARI MPYA

        Wednesday, August 23, 2017

        MBUYU TWITE, KIPRE NA LYANGA NDANI YA 'FIRST ELEVEN' YA FANJA

        Nyota wa zamani wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara; Mkongo Mbuyu Twite (wa pili kulia walioinama) aliyewika Yanga, Muivory Coast Kipre Balou (wa pili kushoto walioinama) aliyewika Azam na Mtanzania, Danny Lyanga (wa kwanza kushoto waliosimama) aliyewika Simba wakiwa na kikosi cha Fanja ya Oman kabla ya moja ya mechi za Ligi Kuu ya Oman mwishoni mwa wiki
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: MBUYU TWITE, KIPRE NA LYANGA NDANI YA 'FIRST ELEVEN' YA FANJA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry