// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MBUNGE CHALINZE AGAWA VIFAA KWA TIMU ZOTE ZA JIMBONI MWAKE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MBUNGE CHALINZE AGAWA VIFAA KWA TIMU ZOTE ZA JIMBONI MWAKE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, August 11, 2017

    MBUNGE CHALINZE AGAWA VIFAA KWA TIMU ZOTE ZA JIMBONI MWAKE

    Mbunge wa jimbo la Chalinze (CCM) mkoani Pwani, Ridhiwani Jakaya Kikwete (kushoto) akimkabidhi vifaa vya michezo mmoja wa viongozi wa timu za jimbo hilo zinazoshiriki mashindano ya Kombe la Mazingira linaloshirikisha timu zote za wilaya ya Bagamoyo.

    Sherehe hizo zilizofanyika Kimange zilihudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo Madiwani wote wa Jimbo la Chalinze na watendaji wao wa kata ambao walipokea jezi kwa niaba ya timu zao. pamoja na Mkuu wa Wilaya, Alhaji Majid Hemed Mwanga  ambaye ndiye muandaaji mkuu wa mashindano hayo akishirikiana na wabunge wa majimbo yote 
    Pamoja na kugawa jezi, Kikwete ameahidi kuwapatia pilkipiki ya tairi mbili washindi wa pili na jezi kwa timu zote tatu za juu, kufuatia mkuu wa Wilaya kutoa pikipiki ya tairi tatu aina ya Toyo ili itumike kwa shughuli za kipato kwa vijana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MBUNGE CHALINZE AGAWA VIFAA KWA TIMU ZOTE ZA JIMBONI MWAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top