• HABARI MPYA

        Friday, August 25, 2017

        MAYWEATHER AWEKEWA ULINZI MKALI KUELEKEA PAMBANO NA MCGREGOR

        Bondia Floyd Mayweather akiwa na Mtendaji Mkuu wa kampuni yake, Mayweather Promotions, Leonard Ellerby (kushoto) na mmoja wa walinzi wake, Greg La Rosa (kulia) kuelekea pambano lake na Conor McGregor kesho ukumbi wa MGM Grand Garden Arena mjini Las Vegas, Marekani Jumamosi usiku, ambayo kwa Afrika Mashariki itakuwa Alfajiri PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: MAYWEATHER AWEKEWA ULINZI MKALI KUELEKEA PAMBANO NA MCGREGOR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry