Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM
JUMLA ya mechi 98 za Ligi Kuu na Ligi ya iliyokuwa Ligi Kuu ya Muungano zimekwishazikutanisha Simba na Yanga tangu mchezo wa kwanza Juni 7, mwaka 1975.
Na katika mechi hizo, Yanga ndiyo iliyoshinda mara nyingi zaidi, mara 36 dhidi ya mara 26 za Simba, huku mechi nyingine 33 timu hizo zikitoka sare.
Kipa wa Simba, Daniel Panju akiwa amelala chini baada ya Edibily Lunyamila (hayupo pichani) kuifungia Yanga bao la kwanza dakika ya 47 katika ushindi wa 2-1 Februari 17, mwaka 2011 kwenye mechi ya Ngao ya Jamii Uwanja wa Taifa GONGA HAPA KUSOMA ZAIDI

0 comments:
Post a Comment