Romelu Lukaku akiinua mikono mbele ya umati wa mashabiki Uwanja wa Old Trafford huku Paul Pogba akimkimbilia kumpongeza mchezaji mwenzake huyo mpya baada ya kufunga mabao mawili dakika za 33 na 52 katika ushindi wa 4-0 wa Manchester United dhidi ya West Ham United kwenye mchezo wao wa kwanza wa Ligi Kuu ya England leo. Mabao mengine ya United yamefungwa na Anthony Martial dakika ya 87 na Pogba dakika ya 90 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Jordan Chiles flaunts Olympic medal amid ongoing appeal over bronze
controversy
-
The Team USA gymnast was controversially stripped of her bronze in the
floor exercise at this summer's Paris Games after a dispute involving
Romania's Ana ...
46 minutes ago
0 comments:
Post a Comment