// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); HAYA MAZOEZI YA NGASSA MBEYA CITY, TUSUBIRI TU LIGI IANZE! - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE HAYA MAZOEZI YA NGASSA MBEYA CITY, TUSUBIRI TU LIGI IANZE! - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, August 17, 2017

    HAYA MAZOEZI YA NGASSA MBEYA CITY, TUSUBIRI TU LIGI IANZE!

    Kiungo mshambuliaji wa Mbeya City, Mrisho Ngassa akiruka juu katika mazoezi yake binafsi jana kujiweka fiti kwa ajili ya msimu mpya wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara  
    Ngassa anafanya mazoez makali mno kuelekea msimu ujao na bila shaka amepania kurejesha heshima yake
    Baadaye hujiunga na timu yake, Mbeya City kwa mazoezi zaidi 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HAYA MAZOEZI YA NGASSA MBEYA CITY, TUSUBIRI TU LIGI IANZE! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top