Gylfi Sigurdsson akishangilia na Aaron Lennon baada ya kuifungia bao zuri la kusawazisha Everton dakika ya 46 katika sare ya 1-1 na wenyeji, Hajduk Split Uwanja wa Poljud jana mjini Split nchini Croatia. Bao la Hajduk Split lilifungwa na Josip Radosevic dakika ya 43 na kwa matokeo hayo, Everton inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 3-1 baada ya wiki iliyopita kushinda 2-0 nyumbani PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Week 16 NFL Playoff Picture: AFC, NFC Bracket Scenarios Ahead of Saturday's
Games
-
Three of the four teams in action on Saturday have a playoff clinching
scenario in play. The Kansas City Chiefs can move a step closer to the No.
1 seed in…
4 minutes ago
0 comments:
Post a Comment