Ousmane Dembele akifanyiwa vipimo vya afya mjini Barcelona, Hispania jana baada ya kuwasili kujiunga na timu yake hiyo mpya kufuatia kukamilisha uhamisho wake wa Pauni Milioni 96 kutoka Borussia Dortmund ya Ujerumani PICHA ZAIDI GONGA HAPA 

Ousmane Dembele akiwa ameketi mbele ya beji ya Barcelona Uwanja wa Nou Camp PICHA ZAIDI GONGA HAPA
0 comments:
Post a Comment