Marcos Alonso akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Chelsea akimtungua kipa wa Tottenham, Hugo Lloris dakika ya 88 akimalizia kazi nzuri ya Pedro katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Wembley, London. Chelsea imeshinda 2-1 na bao lake la kwanza alifunga Alonso pia wakati la Spurs limefungwa na Michy Batshuayi aliyejifunga dakika 82 PICHA ZAIDI YA GONGA HAPA
Man City agree £33.6m deal for Lens defender Khusanov
-
Manchester City agree £33.6m deal with Lens for Uzbekistan central defender
Abdukodir Khusanov.
29 minutes ago
0 comments:
Post a Comment