Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' akimtoka beki wa KCCA katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Star Times mjini Kampala jana timu hizo zikitoka sare ya 1-1
Kiungo wa Azam FC, Enock Atta Agyei akitafuta maarifa ya kumpita beki wa KCCA
Mshambuliaji Waziri Junior akiwatoka wachezaji wa KCCA
Mshambuliaji wa Azam FC, Yahya Mohammed akiwania mpira wa juu dhidi ya mchezaji wa KCCA
Waziri Junior akimtoka beki wa KCCA
Yanga Mohammed akimlamba chenga beki wa KCCA
Potter 'excitement' short lived - but West Ham find 'positives'
-
Graham Potter says West Ham's display at Aston Villa gave him
"encouragement" - even if his pre-match "excitement" was short lived.
21 minutes ago
0 comments:
Post a Comment