Danny Welbeck akiwa amempanda mgongoni mshambuliaji mpya wa Arsenal, Alexandre Lacazette kutoka Lyon ya Ufaransa baada ya kuifungia The Gunners bao la kwanza dakika ya pili katika ushindi wa 4-3 kwenye mchezo wwa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England usiku wa Ijumaa Uwanja wa Emirates, London. Mabao mengine ya Arsenal yamefungwa na Welbeck dakika ya 45, Aaron Ramsey dakika ya 83 na Olivier Giroud dakika ya 85 wakati ya Leicester yamefungwa na Shinji Okazaki dakika ya tano, Marc Albrighton dakika ya 29 na Jamie Vardy dakika ya 56 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Reds Share Photos of Great American Ballpark Covered in Snow After Winter
Storm
-
The Cincinnati Reds shared pictures of Great American Ball Park covered in
snow after Winter Storm Blair passed through the area. The Greater
Cincinnati area…
18 minutes ago
0 comments:
Post a Comment