// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); AMBAVYO MAYWEATHER YUKO TAYARI KWA PAMBANO NA MCGREGOR - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE AMBAVYO MAYWEATHER YUKO TAYARI KWA PAMBANO NA MCGREGOR - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, August 11, 2017

    AMBAVYO MAYWEATHER YUKO TAYARI KWA PAMBANO NA MCGREGOR

    Bondia Floyd Mayweather akifanya mazoezi ya wazi nje ya gym yake ya Mayweather Boxing Club kuonyesha namna alivyo tayari kwa pambano la 50 katika historia yake ya ngumi akiwa ameshinda yote 49 ya awali. Mmarekani huyo atapambana na mbabe wa UFC Conor McGregor Agosti 26, mwaka huu ukumbi wa T-Mobile Arena mjini Las Vegas PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AMBAVYO MAYWEATHER YUKO TAYARI KWA PAMBANO NA MCGREGOR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top