
Thursday, August 31, 2017

Na Canisius Kagabo, KIGALI KIUNGO wa kimataifa wa Rwanda, Yannick Mukunzi ameamua kuachana na timu ya Jeshi la Rwanda (APR) na kwenda urai...
NDEMLA NA HAJIB HUWEZI KUWATENGANISHA SABABU YA TIMU
Thursday, August 31, 2017
Mshambuliaji Ibrahim Hajib (kulia) ameposti picha hii akiwa na kiungo Said Ndemla aliyekuwa naye Simba kabla ya kuhamia Yanga msimu huu. ...
TFF YAMSAFISHA CHIRWA NA KUMRUHUSU KUCHEZA LIGI KUU, MSUVA APEWA ONYO
Thursday, August 31, 2017
Na Rehema Lucas, DAR ES SALAAM KAMATI ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), imemruhusu kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mzambia Ob...
NYOTA WA URENO AKWAMA KUJA KUJIUNGA NA TAIFA STARS
Thursday, August 31, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI Orgenes Mollel (pichani kulia) wa FC Famalicao ya Ureno hataweza kuja kujiunga na kikosi ...
KIDAU AITUPIA LAWAMA BODI YA LIGI KUBOMOLEWA KWA RATIBA LIGI KUU
Thursday, August 31, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KAIMU Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wilfred Kidau ameitupia lawana Bodi ya Ligi juu y...
‘DIMBA MUSIC CONCERT KIVUMBI’ SI YA KUKOSA
Thursday, August 31, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MAANDALIZI ya Tamasha kubwa la muziki wa Dansi lijulikano kama 'Dimba Music Concert Kivumbi' lita...
LIVERPOOL YAIPA PIGO LINGINE ARSENAL, YAMBEBA ALEX OXLADE-CHAMBERLAIN
Thursday, August 31, 2017
Kiungo Alex Oxlade-Chamberlain akitabasamu na jezi ya klabu yake mpya, Liverpool baada ya kukamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 35 kutoka...
AZAM FC YAWAONGEZA MIKATABA AGGREY MORRIS NA SURE BOY
Thursday, August 31, 2017
Na Princess Asia, DAR ES SALAAM NYOTA wawili wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, nahodha msaidizi Aggrey Morris na Salum ...
LWANDAMINA AFIWA NA BABA MZAZI
Thursday, August 31, 2017
Na Prince Akbar, DAR ES SALAAM KOCHA wa Yanga SC, George Lwandamina ameondoka leo Dar es Salaam kwenda kwao, Zambia kwa ajili ya mazishi y...
Wednesday, August 30, 2017
EMMANUEL MARTIN AONGEZWA TAIFA STARS
Wednesday, August 30, 2017
Na Prince Akbar, DAR ES SALAAM KOCHA wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Salum Shaaban Mayanga amemuongeza kwenye kikosi ch...
APR YAMSAJILI MCHEZAJI ALIYEGOMA KUCHEZA BURE HISPANIA
Wednesday, August 30, 2017
Na Canisius Kagabo, KIGALI KLABU ya APR FC ya Rwanda, imemsajili beki chipukizi wa kulia Ombalenga Fitina (pichani kushoto) baada ya mip...
SIMBA WAPANGA KUMFIKISHA MAHAKAMANI BUSWITA KWA UTAPELI
Wednesday, August 30, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM UONGOZI wa klabu ya Simba ya Dar es Salaam umesema kwamba utamfungulia mashitaki kiungo Pius Buswita kwa ...
KESI YA AVEVA, KABURU YAPIGWA KALENDA TENA, WARUDISHWA RUMANDE
Wednesday, August 30, 2017
Na Rehema Lucas, DAR ES SALAAM KESI inayowakabili viongozi viongozi wa klabu ya Simba, Rais Evans Elieza Aveva na Makamu wake, Geoffrey Ny...
Tuesday, August 29, 2017
ABDI BANDA NDANI YA NDEGE ANAKUJA DAR KUJIUNGA NA STARS
Tuesday, August 29, 2017
Beki wa Baroka FC ya Afrika Kusini, Abdi Banda akiwa kwenye ndege wakati anatoka Johannesburg, kurejea nyumbani Tanzania kujiunga na timu...
HATIMA YA CHIRWA WA YANGA KUJULIKANA KESHO
Tuesday, August 29, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KAMATI ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), chini ya Mwenyekiti wake Tarimba Abbas, inataraji...
MSUVA KUJIUNGA NA STARS JUMATANO, BANDA ANATUA LEO
Tuesday, August 29, 2017
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM WINGA wa kimataifa wa Tanzania, Simon Happygod Msuva, anayechezea Difaa Hassan El-Jadida ya Morocco ataj...
SANGA WA YANGA AWANIA UENYEKITI BODI YA LIGI
Tuesday, August 29, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KAMATI ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), imetangaza majina nane ya wagombea ambao yamepit...
MBAO FC YAPATA UDHAMINI MWINGINE, GF TRUCKS WAMWAGA MILIONI 70 NA BASI ‘KALI’
Tuesday, August 29, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KLABU ya Mbao FC ya Mwanza iliyo katika msimu wake wa pili tangu ipande Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara...
Monday, August 28, 2017
WACHEZAJI STARS WAINGIA KAMBINI, ‘MAPRO’ KUANZA KUWASILI KESHO
Monday, August 28, 2017
Na Prince Akbar, DAR ES SALAAM KIKOSI cha timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kinachojiandaa na mchezo wa kirafiki wa kimataifa...
MAPEMA TU, TFF WABOMOA RATIBA YA LIGI KUU
Monday, August 28, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM BODI ya Ligi (TPLB) ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limefanya mabadiliko kidogo katika michezo ya L...
SIMBA KUMPELEKA NDUNDA INDIA KWA MATIBABU YA GOTI
Monday, August 28, 2017
Na Princess Asia, DAR ES SALAAM KIPA wa Simba, Said Mohammed Nduda anatarajiwa kupelekwa India kwa matibabu ya goti lake la mguu wa kushot...
DEMBELE ALIPOWASILI RASMI BARCELONA KUANZA KAZI
Monday, August 28, 2017
Ousmane Dembele akifanyiwa vipimo vya afya mjini Barcelona, Hispania jana baada ya kuwasili kujiunga na timu yake hiyo mpya kufuatia ku...
KIMWAGA AZUA HOFU AZAM BAADA YA KUUMIA MTWARA
Monday, August 28, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM WINGA wa kushoto wa Azam FC, Joseph Kimwaga jana alisafirishwa kwa ndege kurejea jijini Dar es Salaam kuf...
MSUVA APIGA BAO KOMBE LA MOROCCO, JADIDA YASHINDA 3-1
Monday, August 28, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM WINGA wa kimataifa wa Tanzania, Simon Happygod Msuva, jana ameisaidia timu yake, Difaa Hassan El-Jadida k...
YANGA NA LIPULI KATIKA PICHA JANA TAIFA
Monday, August 28, 2017
Beki wa Lipuli, Mghana Asante Kwasi akienda juu kupiga mpira dhidi ya mshambuliaji wa Yanga, Mzimbabwe, Donald Ngoma katika mchezo wa Lig...
Subscribe to:
Posts (Atom)