Mshambuliaji wa Yanga, Mrundi Amissi Tambwe akimiliki mpira kwenye mazoezi ya timu hiyo leo asubuhi Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara
Amissi Tambwe akionyesha uimara wake katika umiliki wa mpira
Mshambuliaji mpya, Ibrahim Hajib akikimbilia mpira leo mazoezini
Beki wa kulia, Juma Abdul akitafuta maarifa ya kumpita kiungo mpya, Pius Buswita mazoezini leo
Wachezaji wa Yanga wakikimbia kwa pamoja leo mazoezini Uwanja wa Uhuru
Beki Kevin Yondan akimsalimia kocha Mzambia, George Lwandamina (katikati)
Mshambuliaji mpya, Ibrahim Hajib akikimbilia mpira leo mazoezini
Wachezaji wa Yanga wakikimbia kwa pamoja leo mazoezini Uwanja wa Uhuru
0 comments:
Post a Comment