Adrien Silva akishangilia baada ya kuifungia Ureno bao la ushindi dakika ya 104 kwa penalti, ikiilaza 2-1 Mexico katika mchezo wa kuwania nafasi ya tatu Kombe la FIFA la Mabara leo Uwanja wa Otkrytiye Arena, mjini Moskva. Luis Neto alianza kujifunga kuipatia Mexico bao la kuongoza dakika ya 54, kabla ya Pepe kuisawazishia Ureno dakika ya 90 na ushei na mchezo ukahamia kwenye dakika za nyongeza, ambako Silva akamaliza kazi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Russell Wilson: 'I Hope' to Sign New Steelers Contract After Wild Card Loss
to Ravens
-
Russell Wilson says he hopes to play again for the Pittsburgh Steelers
after the 2024 season ended with a Saturday night wild-card loss to the
Baltimore…
42 minutes ago
0 comments:
Post a Comment