Mshambuliaji wa Tanzania, Elias Maguri (kushoto) akipiga shuti dhidi ya beki wa Afrika Kusini kuifungia Taifa Stars bao pekee laa ushindi ikiilaza Bafana Bafana 1-0 usiku wa jana Uwanja wa Royal Bafokeng Sports Palace mjini Rusternburg, Afrika Kusini katika mchezo wa Robo Fainali Kombe la COSAFA Castle
Kiungo chipukizi wa Taifa Stars, Raphael Daudi akimtoka beki wa Bafana Bafana
Winga wa Taifa Stars, Shizza Kichuya akipiga mpira pembeni ya mchezaji wa Bafana Bafana
Elias Maguri akimnyatia beki wa Bafana Bafana jana
Beki wa Bafana Bafana akienda juu kuokoa kwa kichwa dhidi ya Raphael Daudi wa Taifa Stars
Mshambuliaji wa Tanzania, Thomas Ulimwengu (kushoto) akiwania mpira dhidi ya beki wa Bafana Bafana
LaVine on Trade Rumors: 'If You're Not at That Level, They Wouldn't Talk
About You'
-
Chicago Bulls guard Zach LaVine knows that part of being included in trade
rumors means there are other teams interested in your production. "People
are…
22 minutes ago
0 comments:
Post a Comment