// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SAMATTA ALIVYOREJEA KAZINI ULAYA JANA BAADA YA MAPUMZIKO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SAMATTA ALIVYOREJEA KAZINI ULAYA JANA BAADA YA MAPUMZIKO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, July 02, 2017

    SAMATTA ALIVYOREJEA KAZINI ULAYA JANA BAADA YA MAPUMZIKO

    Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta ameposti picha hii kwenye ukurasa wake wa Instagram sambamba na maelezo; "Narudi kazini", akimaanisha anarejea katika klabu yake, KRC  Genk nchini Ubelgiji baada ya mapumziko ya takriban mwezi mmoja nyumbani kufuatia kumalizika kwa msimu uliopita

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SAMATTA ALIVYOREJEA KAZINI ULAYA JANA BAADA YA MAPUMZIKO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top