// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); RAIS MAGUFULI AHUDHURIA MECHI YA DARAJA LA NNE LEO NYAMAGANA, MWANZA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE RAIS MAGUFULI AHUDHURIA MECHI YA DARAJA LA NNE LEO NYAMAGANA, MWANZA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, July 03, 2017

    RAIS MAGUFULI AHUDHURIA MECHI YA DARAJA LA NNE LEO NYAMAGANA, MWANZA

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Joseph Magufuli (kulia) akisalimiana na wachezaji wa timu ya Buhongwa kabla ya mchezo wa Ligi Daraja la Nne dhidi ya Nyamwaga FC jioni ya leo Uwanja wa Nyamagana, Mwanza
    Rais Magufuli hapa akisalimiana na wachezaji wa akiba wa timu ya Nyamwaga FC
    Rais Magufuli leo Uwanja wa Nyamagana kabla ya mchezo kati ya Buhongwa na  Nyamwaga FC
    Rais Magufuli leo Uwanja wa Nyamagana akisalimiana na wachezaji wa Nyamwaga FC
    Rais Magufuli leo Uwanja wa Nyamagana kabla ya mchezo kati ya Buhongwa na  Nyamwaga FC 
    Rais Magufuli akizungumza na Mkuu wa Mwanza, John Mongella leo Uwanja wa Nyamagana kabla ya mchezo kati ya Buhongwa na  Nyamwaga FC
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RAIS MAGUFULI AHUDHURIA MECHI YA DARAJA LA NNE LEO NYAMAGANA, MWANZA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top