Wachezaji wa PSG wakifurahia na taji lao la Super Cup ya Ufaransa baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Monaco usiku wa jana Uwanja wa Grand Stade de Tanger mjini Tanger. Mabao ya PSG yalifungwa na Dani Alves dakika ya 51 na Adrien Rabiot dakika ya 63, baada ya Djibril Sidibe kuifungia bao la kuongoza Monaco dakika ya 30 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Ohio State QB Air Noland Commits to South Carolina in CFB Transfer Portal
-
South Carolina found its next quarterback. Ohio State transfer Air Noland
committed to the Gamecocks on Monday, per Hayes Fawcett of On 3. While
Noland did...
29 minutes ago
0 comments:
Post a Comment