// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MORATA SASA AKARIBIA KABISA KUTUA MAN UNITED - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MORATA SASA AKARIBIA KABISA KUTUA MAN UNITED - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, July 03, 2017

    MORATA SASA AKARIBIA KABISA KUTUA MAN UNITED

    UHAMISHO wa Alvaro Morata kwenda Manchester United unakaribia kukamilika baada ya wakala na baba wa mshambuliaji huyo kuhudhuria kikao cha mazungumzo na Real Madrid Jumatatu.
    Taarifa nchini Hispania zimesema kwamba Juanma Lopez na Alfonso Morata walikwenda katika ofisi za Real mida ya mchana kukutana na viongozi.
    Kikao hicho kilimalizika baada ya muda wa saa moja kwa mujibu wa AS na thamani ya Morata ambaye anatakiwa sana na Manchester United ni Pauni Milioni 70.
    Alvaro Morata yuko karibu kujiunga na Manchester United ya England kutoka Real Madrid ya Hispania PICHA ZAIDI GONGA HAPA 

    Pamoja na hayo, Mashetani hao Wekundu bado hawajaafiki bei ya manunuzi ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24, ambaye amefunga mabao 20 katuika mechi 43 msimu uliopita.  
    Taarifa za kikao baina ya Lopez na Real azinazidi kuongeza uwezekano wa uhamisho huo.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MORATA SASA AKARIBIA KABISA KUTUA MAN UNITED Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top