Kinda wa Manchester City, Brahim Diaz akiwa amezingirwa na wenzake kumpongeza baada ya kufunga bao la nne dakika ya 81 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya mabingwa wa Ulaya, Real Madrid Alfajiri ya leo Uwanja wa Los Angeles Memorial Coliseum mjini Los Angeles, California, Marekani katika mchezo wa Kombe la Mabingwa wa Kimataifa. Mabao mengine ya timu ya kocha Pep Guardiola yamefungwa na Nicolas Otamendi dakika ya 52, Raheem Sterling dakika ya 59 na John Stones dakika ya 67, wakati la timu ya kocha Zinadine Zidane limefungwa na Oscar Rodriguez dakika ya 90 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Colorado Buffaloes QB Shedeur Sanders weighs in on Travis Hunter
controversy as fiancee Leanna Lenee comes under fire
-
One of Travis Hunter's best friends and Colorado star Shedeur Sanders has
come to the defense of his NFL-bound teammate and his fiancee Leanna Lenee
amid m...
35 minutes ago
0 comments:
Post a Comment