Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe (kushoto), akizungumza na Nahodha wa timu ya soka ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys, Issa Abdi Makamba leo nyumbani kwao katika kitongoji cha Mlezi, Dodoma baada ya kumtembelea kumjulia hali
Issa aliumia mguu wa kulia akiwa kwenye kambi ya mazoezi nchini Morocco mwezi Aprili walipokuwa wakijiandaa na michuano ya AFCON U-17 niliyofanyika chini Gabon mwezi Mei Waziri Mwakyembe alitumia fursa hiyo kumpa pole na kumhakikishia Issa huduma muhimu hadi afya yake itakapotengemaa

0 comments:
Post a Comment