Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Dioniz Malinzi (katikati) akimkabidhi beki wa Simba, Mohammed Hussein 'Tshabalala' tuzo ya Mchezaji Bora wa Msimu wa klabu usiku wa leo hoteli ya Serena, Dar es Salaaam baada ya futari ya pamoja iliyoandaliwa na uongozi wa klabu. Kulia ni Rais wa Simba, Evans Aveva
Malinzi amempa Tshabalala Sh. Milioni 1 kwa ushindi huo, wakati Sh. 500,000 amempa Moses Kitundu kwa kuwa tuzo mchezaji bora wa timu ya vijana
Malinzi amempa Tshabalala Sh. Milioni 1 kwa ushindi huo, wakati Sh. 500,000 amempa Moses Kitundu kwa kuwa tuzo mchezaji bora wa timu ya vijana
0 comments:
Post a Comment