Mshambuliaji wa kimataifa wa Burundi, Amissi Joselyn Tambwe (kulia) akisaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kuichezea Yanga SC huku akishuhudiwa na viongozi wa klabu hiyo. Zoezi hilo limefantika makao makuu ya klabu, Jangwani, Dar es Salaam leo
Mhasibu Mkuu wa klabu, Baraka Deusdedit akimpekulia kurasa za kusaini Tambwe leo Jangwani


0 comments:
Post a Comment