Alexis Sanchez (kulia) akimkimbilia Arturo Vidal kumpongeza baada ya kuifungia Chile bao la kwanza dakika ya 81 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Cameroon kwenye mchezo wa Kundi B Kombe la Mabara usiku huu Uwanja wa Otkrytiye Arena mjini Moscow, Urusi. Sanchez ndiye aliyetoa krosi ya bao hilo na akaseti na la pili pia lililofungwa na Eduardo Vargas dakika ya 90 na ushei baada ya kutokea benchi dakika ya 58 kuchukua nafasi ya Edson Puch PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Potter 'excitement' short lived - but West Ham find 'positives'
-
Graham Potter says West Ham's display at Aston Villa gave him
"encouragement" - even if his pre-match "excitement" was short lived.
14 minutes ago
0 comments:
Post a Comment