Nyota wa Ureno, Cristiano Ronaldo akipambana na Mauricio Isla wa Chile katikaa mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Mabara usiku wa Jumatano Uwanja wa Kazan Arena mjini Kazan, Urusi. Chile ilishinda kwa penalti 3-0 baada ya sare ya 0-0 ndani ya dakika 120 shujaa akiwa ni kipa Claudio Bravo aliyeokoa penalti zote tatu za Ricardo Quaresma,
João Moutinho na Luis Nani,wakati zao zilifungwa na Arturo. Vidal, Charles Aranguiz na Alexis Sanchez. Chile sasa itakutana na mshindi kati ya Ujerumani na Mexico zinazomenyana Alhamisi katika Nusu Fainali ya pili Uwanja wa Olimpiki mjini Sochi PICHA ZAIDI GONGA HAPA

0 comments:
Post a Comment