// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); NGOMA HUYU HAPA 'AIRPORT' CHINI YA ULINZI WA 'MAKOMANDOO' WA YANGA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE NGOMA HUYU HAPA 'AIRPORT' CHINI YA ULINZI WA 'MAKOMANDOO' WA YANGA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, June 27, 2017

    NGOMA HUYU HAPA 'AIRPORT' CHINI YA ULINZI WA 'MAKOMANDOO' WA YANGA

    Mshambuliaji wa Yanga, Mzimbabwe Donald Ngoma aliyeripotiwa kusaini mkataba wa miaka mitatu Polokwane City ya Afrika Kusini akiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam usiku huu
    Ngoma ambaye pia anatakiwa na mahasimu, Simba amepokewa na wanachama wa Yanga, Mzee wa Mpunga na Kaisi
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NGOMA HUYU HAPA 'AIRPORT' CHINI YA ULINZI WA 'MAKOMANDOO' WA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top